ukishaingia katika ukurasa wa ku log in, utaweza kuona chini kuna neno limeandikwa SHORTCUT YA UFUNGUA DUKA lipofye neno hilo.
Baada ya kubofya itakupeleka katika ukurasa ambao unamachagulio matatu, "BORESHA FRAME", "INGIA KWENYE FRAME YANGU" na "FUNGUA FRAME". Wewe utaenda katika fomu ya FUNGUA FRAME YANGU na utajaza kulingana na maelezo uliyoandikiwa
Ukishafungua itakupelea ndani ya duka lako ambapo hapo utaweza kupost bidhaa zako mbali mbali katika vyumba ulivyopewa kama inavyooneshwa hapo chini
Usisahau kuboresha bango la frame yako mara kwa mara kuiweka katika nafasi ya kutizamwa na wateja mbalimbali
Utaingia katika page ya kwanza utasign in kwa kujaza taarifa zako ikiwemo jina lako na jina lako la siri na baada ya hapo utakuwa huru kufurahia kutizama bidhaa na huduma mbalimbali
KARIBU PAYBOSS KARIBU KATIKA SOKO LA BIDHAA NA BIASHARA MTANDAONI